Thursday, March 14, 2013

New Track..!! Kala Jeremiah Ft Ben Paul - Karibu Dar

UKITAKA KUMKATAZA MTU KWENDA KUOGA MTO WENYE MAMBA MWAMBIE NENDA KAOGE KWENYE ULE MTO ILA UNAMAMB WANAOKULA WATU.HII NI SAWA NA KARIBU DAR. KARIBU DAR TUNAKUKARIBISHA LAKINI TUNAKUELEZA CHANGAMOTO UTAKAZOKUTANA NAZO UKIWA DAR.SO KAMA UNATAKA KUJA DAR SIKILIZA NGOMA HII MPYA YA KALA JEREMIAH ft BEN POL.KARIBU SANA KWENYE HILI JIJI LA JOTO.

 CLICK HERE TO  DOWNLOAD 
                                           http://www.facebook.com/pages/Kala-jeremiah/256942754332076?fref=ts

No comments: