Msanii mkongwe na maarufu nchini, Juma Kassin Kiroboto, aka Nature,
ameonyesha kukerwa na kile kilichoendelea jana usiku katika kipindi cha
burudani cha televishen inayotizamwa africa ya mashariki alipokuwa
akifanya nao interview. Nature alionekana akiwa amevaa kawosh na ndala na mara
baada ya mahojiano mafupi ya mwanzo ambapo mtangazaji alisema watarejea baada
ya mapumziko mafupi Nature hakuonekana tena. Kilichotokea kwa mujibu wa
Nature mwenyewe, ni wakati wa mapumziko hayo, mtangazaji wa kipindi hicho alimfata
na kumuambia kuwa hataendelea na interview tena kwasababu ya mavazi aliyokuwa
kavaa ambayo ni ndala na kawosh. kuonyesha kukerwa kwake na ishu hiyo Nature
aliamua kuandika kupitia ukurasa wake wa facebook....
JUMA
NATURE AKAFUNGUKA:
hivi kwa mfano
angekuwepo mzungu pale na kavaa
ndala
wangesitisha mahojiano na kuvaa kaoshi ni tatizo,
kunywa nimekunywa bt
kuna baya nimeliongea na hivi
kama kweri we
nimuandishi wa habari unaruhusiwa
kuvaa vile kisheria
kama yule mtangazaji nimeboreka
kinoma na ikiwezekana
nasitisha kuanzia ssa
kupeleka ngoma
zangu pale siitaji interview
No comments:
Post a Comment