Baaada ya sinema ya Woman of Principels kufanya
vizuri sokoni sasa ni wakati wa sinema bora kuingia mtaani jina ni
Sister Marry ni sinemma yenye story ya kipekee sana kama kawaida ya
kampuni yako RJ Company kufanya kazi yenye kiwango cha hali ya juu lini mzigo huu unatoka nitawataalifu kupitia blog yentu
Sister Beata(Johari) akiwa on set
RAY Akiwa makini na kazi yake.
Huu
mzigo si mchezo subirini kwa hamu sana, ni sinema niliyotumia hela nyingi sana mpaka kuona hivi watu
walivyo....
Vijana wakipiga mzigo kwa umakini mkubwa sana.
No comments:
Post a Comment