Mwanamuziki
kutoka nchini Marekani,Rick Ross akijisikia furahaa kuwaona Watanzania
wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwa ajili ya kumshuhudia yeye akikamua
stejini
Mwanamuziki
kutoka nchini Marekani Rick Ross akiimba jukwaani usiku huu mbele ya
maelfu ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake kwenye viwanja vya
Lidaz Club,wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta likirindima.
Mtu mzima Rick Ross “The Boss” kutoka nchini Marekani hivi sasa
yuko jukwaani kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2012 linalofanyika
kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar salaam ,anakamua ile
mbaya na mashabiki wamepagawa vyakutosha kwa kila anachowaelekeza
kufuata wanafuata jamaa amefunika mbaya, hiii ni mara yake ya kwanza
kufanya onesho nchini Tanzania
GARI ALILOKUJA NALO RICK ROSS BONGO
Rachel na wacheza shoo wake wakiburudisha mashabiki viwanja vya Leaders jijini Dar es salaal katika tamasha la Serengeti
No comments:
Post a Comment