Monday, March 11, 2013

Uhuru Kenyatta: Thank You Kenya

Tume huru ya uchaguzi na ukaguzi wa mipaka ya nchini Kenya IEBC imemtangaza rasmi Uhuru Kenyata kuwa mshindi wa kiti cha uraisi ikiwa ni baada ya kukamilika kwa zoezi la kuhesabu kura kutoka katika maeneo yote nchini humo. — in Kenya.
 
 
 
 

No comments: