Marehemu Max ambaye alikuwa ni mchekeshaji, kwa nyuma ni Ay, Dudubaya na
Ray c kwa mujibu wa Zembwela ambaye walikuwa wakifanya kazi na marehemu
Max hiyo picha ilikuwa ni kwenye mika 98 flani hivi pande za
Mwanza,walikuwa wanaenda kupanda ndege ndo wanarudi Dar.#RIP Max
No comments:
Post a Comment