Redd's
Miss Tanzania 2012/13,Brigit Alfred (katikati) akiwa na Mkurugeni wa
Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Kushilla Thomas.
Redd's Miss Tanzania 2012/13,Brigit Alfred (tatu shoto) akiwa na baadhi ya washiriki wenzake wa Miss Tanzania mwaka jana.
Redd's
Miss Tanzania 2012/13,Brigit Alfred (katikati) akigonganisha glass na
Mkurugeni wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ambao ni Wadhamini
wakuu wa Shindano la Miss Tanzania,Kushilla Thomas (kulia) pamoja na
Mkurugenzi wa Lino International Agency waandaaji wa Miss Tanzania,Anko
Hashim Lundenga ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa mbio za kumsaka
Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2013/14 wakati wa tafrija mchaparo a.k.a
mkia wa jogoo (cocktail party),iliyofayika usiku huu kwenye Ukumbi wa
Maqee,uliopo Serena Hoteli,jijini Dar es Salaam
Mapumziko mafupi Baada ya dansi.
|
Hii ndio Kamati nzima ya Miss Tanzania. |
Mkurugenzi
wa Lino International Agency waandaaji wa Miss Tanzania,Anko Hashim
Lundenga akizungumza machache wakati wa wakati wa tafrija mchaparo a.k.a
mkia wa jogoo (cocktail party) ya uzinduzi rasmi wa mbio za kumsaka
Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2013/14,iliyofayika usiku huu kwenye
Ukumbi wa Maqee,uliopo Serena Hoteli,jijini Dar es Salaam
Redd's
Miss Tanzania 2012/13,Brigit Alfred (katikati) akiwa katika picha
pamoja na Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original,Victoria Kimaro
(kushoto) na Meneja wa vilaji vha Castle Lite na Ndovu,Pamella Kikuli
wakati wa tafrija mchaparo a.k.a mkia wa jogoo (cocktail party) ya
uzinduzi rasmi wa mbio za kumsaka Mrembo wa Redd's Miss Tanzania
2013/14,iliyofayika usiku huu kwenye Ukumbi wa Maqee,uliopo Serena
Hoteli,jijini Dar es Salaam
Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original,Victoria Kimaro (kati) akiliongoza Dimba kwa kusakata kwaito.
Hapa hakuna alietaka kubaki nyuma kwa magoma yalipamba moto na kila mtu aliyarudi bila kujali nin wala nini.
No comments:
Post a Comment