ROSE NDAUKA SASA KUJA NA TV TALK SHOW ITAYOITWA "THE FAMILY TALK SHOW"
It
ain’t enough for Rose Ndauka to rock on a Successful ‘Bongo Movie’
Career as an actress. Hata baada ya kutoa Bad Girl, Rouben n’ Angel, Why
did I love, Love me or Love me not and many others alizo shiriki, the
hard working actress wants more.
Exclusive info ni kwamba Rose Ndauka is soon to come up with her very own Tv Show called “The Family Talk Show”.
“It’s
all about solutions to family matters. Nimeona nizungumze na Society
kwa njia hii. Show itakuwa ina solve matatizo ya familia, Therefore
familia zingine zitapata kujifunza kupitia show yangu namna zitavyoweza
kujenga na kuboresha mahusiano yao nyumbani”. Rose Ndauka told BK
Utarusha
TV gani? Bado sija make decision show yangu iwe aired TV gani rite now
all I can say ni kwamba nipo kwenye process za mwisho na baada ya hapo
itafahamika”.
Utasitisha kufanya movie? “Movie siwezi kuacha kabisa
tena kuna movie zangu mpya zinakuja moja inaitwa Social Cover na ingine
initwa “Waiting Soul” itatoka anytime in March.
No comments:
Post a Comment