Thursday, March 14, 2013

AIBUU...TIMBULO AKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA BURUNDI

Kuna tetesi kuwa msanii wa Bongo flava maarufu kwa jina la Timbulo, ambaye amepata umaarufu mkubwa kutokana na umahiri wa kuimba katika nyimbo
zake kadhaa kama Domo Langu, Waleo Wakesho, Samson na Delilah, amekamatwa mjini Bujumbura kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya.
 

No comments: