Msanii huyo amekamatiliwa
kutokana na kufanya utapeli katika show aliyotakiwa kufanya katika ukumbi wa
Jambolee uliyopo manispaa ya Songea mkoani ruvuma. Baada ya kuja ukumbini akiwa
amelewa hali iliyompelekea kushindwa kufanya show na kusababisha hasara katika
ukumbi baada ya kufanya fujo ya kuvunja vitu ukumbi hapo, Ndipo waandaaji wa
show hiyo walipo amua ifanyike kesho yake na kiingilo kiwe ni kununua bia
.
Wakati huo msanii huyo
alitakiwa akafanye show ingine wilaya ya Mbinga ambayo ilikuwa ni sehemu ya
mkataba wao lakini hakufanya hivo na matokeo yake akaamua kukata Tiketi kurudi
Dar es Salaam , Baada ya kuvuja taarifa hizo walimfata hadi alipo kuwa amefikia
nakukuta amehamia sehemu ingine.
Hatua iliyochukuliwa
nikumvizia katika bus ndipo alipokamatwa , Hadi sasa yupo mahakama ya mwanzo ,
Taarifa zaidi zinakuijia endelea kufatilia katika mtandao wetu zitakuhijia
kwani mwandishi wetu yupo eneo la tukio ,
Endelea kutembelea blog
hii tutakujuza zaidi
No comments:
Post a Comment