Mwimbaji kutoka Tanzania House of Talent (THT) Barnabas Elias
maarufu kama Barnaba amefiwa na mama yake mzazi alfajiri ya leo jijini Dar es
salaam.
Taarifa zilizothibitishwa na rafiki wa karibu na msanii
mwenzake Amini , zinasema mama yake Barnaba amefariki nyumbani kwake alfajiri
ya leo Jumamosi (June 22) kutokana na presha.
No comments:
Post a Comment