Thursday, June 13, 2013

PHOTOS: TID AKIWA NDANU YA KIPINDI CHA SPORAH SHOW HUKO UINGEREZA

 

Msanii kutoka Tanzania TID ambae kwa sasa yupo katika ziara yake ya kimuziki jijini London, Uingereza ambapo hadi sasa amesha piga show kadhaa katika sehemu tofauti zilizopo nchini humo.
Mpya kutoka TID ni kuwa siku za hivi karibuni alipata mualiko na kufanya mahojiano katika kipindi cha Sporah Show ambacho huandaliwa na kurushwa kutoka nchini Uingereza.
Hizi ni baadhi ya picha zinazomuonyesha mwanamuziki TID alivyokuwa akifanyiwa mahojiano hayo na mtangazaji Sporah….




No comments: