Saturday, May 11, 2013

HUYU MREMBO NDIE ALIEONGOZA KUANDIKWA KWENYE MITANDAO


Utafiti uliofanywa kwenye mitandao ni video queen gani
alieandikwa kwenye mitandao
Imebainika ni video Queen kutoka Kenya...Mrembo
 huyo alietokea kwenye video
ya P-Unit vera sidika a.k.a Beiby Vee ndio ameandikwa
sana kwenye Intanet.........Ameandikwa
mara 120 kwenye intaneti......

Lakini kasoro iliingia kwenye video hiyo baada ya siku chache kutoka
taarifa zilizaga kutoka kenya kwamba video hiyo imefungiwa
kurushwa kwenye kitu cha television CITZEN TV.....,
Kutokana na ukali wa picha Hasa za Huyu Mrembo...!!




SAKATA LA JUMA NATURE KUTOLEWA KWENYE INTERVIEW....NATURE AFUNGUKA

Msanii mkongwe na maarufu nchini, Juma Kassin Kiroboto, aka Nature, ameonyesha kukerwa na kile kilichoendelea jana usiku katika kipindi cha burudani cha  televishen inayotizamwa africa ya mashariki alipokuwa akifanya nao interview. Nature alionekana akiwa amevaa kawosh na ndala na mara baada ya mahojiano mafupi ya mwanzo ambapo mtangazaji alisema watarejea baada ya mapumziko mafupi Nature hakuonekana tena. Kilichotokea  kwa mujibu wa Nature mwenyewe, ni wakati wa mapumziko hayo, mtangazaji wa kipindi hicho alimfata na kumuambia kuwa hataendelea na interview tena kwasababu ya mavazi aliyokuwa kavaa ambayo ni ndala na kawosh. kuonyesha kukerwa kwake na ishu hiyo Nature aliamua kuandika kupitia ukurasa wake wa facebook.... 

JUMA NATURE AKAFUNGUKA:
hivi kwa mfano angekuwepo mzungu pale na kavaa
 ndala wangesitisha mahojiano na kuvaa kaoshi ni tatizo,
kunywa nimekunywa bt kuna baya nimeliongea na hivi
 kama kweri we nimuandishi wa habari unaruhusiwa 
kuvaa vile kisheria kama yule mtangazaji nimeboreka 
kinoma na ikiwezekana nasitisha kuanzia ssa
 kupeleka ngoma zangu pale siitaji interview

Thursday, May 2, 2013

From The Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation: A Congratulatory Message to Her Majesty Beatrix of the Netherlands

Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania


H.E Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a Congratulatory Message to Her Majesty Beatrix of The Netherlands, on the occasion of the Birthday of Her Majesty the Queen on 30th April, 2013.

The message reads as follows:

“Her Majesty Queen Beatrix,
  The Hague,
  The Netherlands.

Your Majesty,

It gives me great pleasure on behalf of the people, the Government of the United Republic of Tanzania and on my own behalf to sincerely congratulate Your Majesty on the occasion of your 75th Birthday which also marks the National Day of The Netherlands and coincides with Your Majesty’s abdication of the throne to His Royal Highness, Prince Willem-Alexander, the Prince of Orange.

I wish to take this opportunity to express my heartfelt gratitude for the warm and friendly welcome accorded to me during my recent and indeed very successful visit to your great country. I believe the visit has set a new momentum to the growing bilateral relations between The Netherlands and Tanzania and added fresh impetus to our focus in our relations, both bilaterally and multilaterally for the mutual benefit of our respective peoples and countries.

In this regard, I wish to reassure Your Majesty of my commitment to continue working closely with the new King of the The Netherlands.

Please accept, Your Majesty, the assurances of my highest esteem, my best wishes for Your continued good health, happy retirement, peace and prosperity for the people of The Netherlands”.


Issued by: 
The Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, 
Dar es Salaam.
30TH APRIL, 2013

Lady Jay Dee "{WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA }



Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo mengi, magumu na mepesi
Na bado naendelea ku experience mambo magumu zaidi kadri ninavyozidi kuwa mkubwa.

Siku za karibuni nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo mkubwa kifedha , ki umri na hata wenye ukubwa wa connection katika hii industry ya muziki. Wanaomiliki chombo cha habari.

Nasimama na kusema kuwa sitokata tamaa, kwani lengo lao kubwa ni kuona na kuhakikisha nimeanguka kabisa na sipo katika ramani ya muziki.

Watu hao ambao vita yao ilikuwa baridi miaka kumi iliopita, sasa inazidi kuwa moto baada ya kutambua kuwa mimi ni mtu mwenye maamuzi yangu na misimamo yangu bila kuburuzwa.
Wanapita kila mahali kuhakikisha kila mrija unaoniingizia chochote unakatika, na hiyo ni kutaka kuuthibitishia umma wa Tanzania kuwa hakuna msanii anaeweza ku survive bila wao.

Mimi ni msanii tofauti na hao mnaofikiria.
Nadhani mnafahamu tangu niachane na Tuzo zenu mnazo influence nani apate nani asipate, na tangu niachane na Fiesta nilipolipwa laki 8 mara ya mwisho na kuamua kuunda Band ili nijiajiri na kupata shows zangu mwenyewe, ikafanikiwa sana jambo ambalo limewauma na kuamua kufanya kitu cha kuiangusha Band yangu.

Nita survive kwa njia zozote MUNGU alizonipangia.
Wakati bado wote tunapumua na kwakuwa watu hao hawanipendi kabisa, Naamini fika hawataweza kunipenda hata siku nitakapokuwa nimekufa.

Na huu ndio wosia wangu kwa watu hao.
Natambua wanaweza kutumia redio yao kutangaza sana kifo changu na kusema marehemu alikuwa mtu mzuri na pengine kupiga nyimbo zangu kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Ila naomba nitamke hivi, siku nikifa CLOUDS FM isipige nyimbo zangu, wala isiongelee lolote kuhusiana na kifo changu.

Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga wasihudhurie msiba wangu, na mkiwaona muwapige wame
Enyi mtakaokuwa hai baada yangu.

Kama wamenifitini, na hawajanipenda nikiwa hai
Hakuna haja ya kujifanya kunipenda nikiwa marehemu.
Sina haja wanipende pia kwakuwa mimi sio ndugu yao, Ila ubaya wanaoundeleza mioyoni mwao wanaujua na nina hakika nafsi zao zinawasuta pia.

Niliamua kujiepusha nao miaka mingi na kufanya biashara zangu, nimekaa kimya watu wanafikiri nabebwa lakini sijabebwa chochote sikutaka ugomvi haya mambo yalianza baada ya Album yangu ya pili ya Binti mwaka 2003 nilipojitoa Smooth Vibes chini ya Ruge.
Nilivumilia fitna nikiamini ipo siku yatakwisha lakini naona moto ndio unazidi kuwaka.

Na hii ni kwasababu wanaogopa msanii akiwa mkubwa watashindwa kumuamrisha, Hamuwezi kumiliki dunia..
Kama mnasema mlinibeba mbona hamkuwabeba dada zenu wa tumbo moja waimbe ili hela irudi nyumbani??. kama kweli wewe Kusaga unajua kubeba basi beba jiwe liimbe liwe star..

Kwa roho zenu mbaya mnaweza kumbeba mpita njia nyie??.
Talent haibebwi, hujibeba kama mnabisha si mna watoto wabebeni basi wawe kama kina Diamond ndio nitaamini kweli nyie mnaweza kubeba watu.

Mnawatishia wasanii kuwa yoyote atakaefanya nyimbo na mimi hazitapigwa, vikao vinne mmeshakaa kunijadili.
Mnadhani je! nitapungukiwa nini endapo wasanii wengine wakiacha kufanya kazi na mimi?? nyimbo hazitakuwa nzuri.
Basi sawa ngoja tuone MUNGU ni nani, Binadamu nani??
Kwahiyo mtaamrisha watu pia wasikae na mimi??

Ilikuwa niseme majina matatu huyo mmoja nimemsamehe baada ya kugundua sio hiyari yake ila yuko under influence ya hawa jamaa wawili.

Kila siku mnamsingizia Ruge peke yake Kusaga ni mfitini kuliko hata huyo Ruge, watu hamjui tu.
Mtu hela zote hizo bado shillingi mbili ya Jide inakuuma??
Roho gani hiyo??

Naishia hapo na sitabatilisha kauli yangu

JIDE

Tuesday, April 30, 2013

JACKLINE WOLPER AJIPANGA KUMBUKUMBU YA THE GREAT



USIKOSE...!!!!!


HII NDIO LIST YA WANAOWANIA TUZO ZA KILI MUSIC AWARD MWAKA HUU.....SOMA HAPA


WIMBO BORA WA MWAKA
Dear God – Kala Jeremiah
Leka dutigite – Kigoma all star
Mapito – Mwasiti Feat Ally Nipishe
Me n U – Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee
Pete- Ben pol
MSANII BORA WA KIUME
Ben Pol
Diamond
Linex
Mzee Yusuf
Ommy Dimpoz
MSANII BORA WA KIKE
Isha Mashauzi
Khadija Kopa
Lady Jaydee
Mwasiti
Recho
MSANII BORA WA KIKE – TAARAB
Isha Mashauzi
Khadija Kopa
Khadija Yusuph
Leila Rashid
MSANII BORA WA KIUME – TAARAB
Ahmed Mgeni
Hashim Said
Mzee Yusuf
MSANII BORA WA KIUME – BONGO FLAVA
Ally Kiba
Ben Pol
Diamond
Linex
Ommy Dimpoz
MSANII BORA WA KIKE – BONGO FLAVA
Linah
Mwasiti
Recho
Shaa
MSANII BORA WA HIP HOP
Fid Q
Joh Makini
Kala Jeremiah
Profesa J
Stamina
  Msanii Bora wa Kiume – Bendi
Chalz Baba
Dogo Rama
Greyson Semsekwa
Jose Mara
Khaleed Chokoraa
Msanii Bora wa Kike – Bendi
Anneth Kushaba
Luiza Mbutu
Mary Lucos
Vumilia
Msanii Bora anayechipukia
Ali Nipishe
Angel
Bonge la Nyau
Mirror
Vanessa Mdee
Video Bora ya Wimbo ya Mwaka
Baadae – Ommy Dimpoz
Kamili gado – Professor J Feat Marco Chali
Marry Me – Rich Mavoko
Nichum – Bob Junior
Party Zone – AY Feat Marco Chali
Mtunzi Bora wa Mashahiri – Taarab
Ahmed Mgeni
Hemed Omary
Khadija Kopa
Mzee Yusuf
Thabit Abdul
Mtunzi Bora wa Mashahiri – Bongo Flava
Ally Kiba
Barnaba
Ben Pol
Linex
Ommy Dimpoz
Mtunzi Bora wa Mashahiri – Hip Hop
Fid Q
Joh Makini
Kala Jeremiah
Mwana Fa
Stamina
Mtunzi Bora wa Mashahiri – Bendi
Chalz Baba
Grayson Semsekwa
Jonico Flower
Jose Mara
Khaleed Chokoraa
Mtayarishaji Bora wa Mwaka – Muziki wa Kizazi Kipya
Bob Junior
Ima the boy
Man Water
Maneke
Marco chali
Mensen Selecta
Mtayarishaji wa Wimbo wa Mwaka – Taarab
Bakunde
Enrico
Mtayarishaji wa Wimbo wa Mwaka – Bendi
Allan Mapigo
Amoroso
Mtayarishaji Chipukizi wa Mwaka
Imma the Boy
Mensen Selecta
Mr T Touch
Sheddy Clever
Rappa Bora wa Bendi
Fagasoni
Greyson Semsekwa
J4
Jonico Flower
Sauti ya Radi
Wimbo wenye vionjo vya asili
Aambiwe – offside trick
Atatamani – AT
Boma la utete – Young D
Chocheeni kuni – Mrisho Mpoto Feat Ditto
Mdundiko – Momba Feat Juma Nature
Wimbo Bora wa Bendi
Chanzo ni sisi – Mapacha watatu
Jinamizi la Talaka – Mlimani Park Orchestra
Risasi kidole – Mashujaa band
Shamba la twanga – African Stars band
Wimbo Bora wa Reggae
Hii si ya waoga – Yuzzo
Kilimanjaro – Warriors from The East
NATAFUTA PARADISE – Mac Malick Simba
Salvation – Delayla Princess
Tunda – Hardmad
Wimbo Bora wa Africa Mashariki
Fresh All Day – Camp Mulla
Make you dance – Keko Feat Madtrax
Maswali ya polisi – DNA
Still a Liar – Wahu
Valu Valu – Jose Chameleone
Wimbo Bora wa – Bongo Pop
Aifola – Linex Feat fundi Samweli
Baadae – Ommy Dimpoz Feat Angel
Chuki Bure – Sharo Milionea Feat Dully Sykes
Marry Me – Rich Mavoko
Me and you – Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee
Wimbo Bora wa Kushirikiana/kushirikishwa
Chuki Bure – Sharo Millionea Feat Dully Sykes
Mapito – Mwasiti Feat Ally Nipishe
Me and U – Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee
Sihitaji marafiki – Fid Q Feat Yvonne
Single Boy – Alikiba Feat Lady Jaydee
Wimbo Bora wa Hip Hop
Alisema – Stamina Feat Jux
Bum kubam – Nikki wa Pili Feat G Nako
Dear God – Kala Jeremiah
Nasema Nao – Nay wa Mitego
Sihitaji Marafiki – FID Q Feat Yvonne
Wimbo Bora wa RnB
Amerudi – Belle 9
Kuwa na Subira – Rama Dee Feat Mapacha
Maneno maneno – Ben Pol
Pete – Ben Pol
Wimbo Bora wa Ragga/ Dancehall
Je ni nani – Ras Six
Muda upite – Susu Man
Predator – Dabo
Push Dem – Dr Jahson
Take it down – Chibwa and Tanah
Wimbo Bora wa Taarab
Mjini chuo kikuu – Khadija Kopa
Mpenzi chocolate – Jahazi [Mzee Yusuph]
Si bure una mapungufu – Isha Mashauzi [Mashauzi Classic]
Sina muda huo – Jahazi [Leila Rashid]
Siwasujudii Viwavi jeshi -Isha Mashauzi [Mashauzi Classic]
Wimbo Bora wa Zouk/Rhumba
Gubegube -Barnaba
Mapito – Mwasiti Feat Ally Nipishe
Nashukuru umerudi – Recho
Ni wewe – Amini
Sorry – Barnaba
Bendi Bora ya Mwaka CD1 African Stars Band
Mapacha wa tatu
Mashujaa Band
Mlimani Park Orchestra [Sikinde]
Msondo Ngoma Music band
Kikundi Bora cha Taarab
Dar modern Taarab
Five stars modern Taarab
Jahazi Modern Taarab
Kings modern Taarab
Mashauzi Classic
Kikundi Bora cha Muziki wa Kizazi Kipya 
Jambo squad
Makomando
Tip Top Connection
Tmk wanaume family
Weusi (134)