Mwaka
2013 ni mzuri kwa rapper Nay wa Mitego. Licha ya kuwa na hit single hewani,
Muziki Gani aliyomshirikisha Diamond, rapper huyo amenunua ndinga mpya aina ya
Mark X yenye thamani ya shilingi milioni 35. Kama hiyo haitoshi, hitmaker wa
Nasema Nao, amejihami pia kwa kununua bastola.
Nay ameshare picha hizo kwenye Instagram na Facebook ambapo miongini
mwa picha za gari lake ameandika, ‘My new car. Mark X, Zic z wat I nid.” Mwaka
huu Nay ametumiwa kwenye show nyingi za Airtel na Vodacom
ambazo huenda zimemwingizia mkwanja wa kutosha.
No comments:
Post a Comment