Bendizzo Entertainment is the the small enterprise dealing with Library works on Selling and supplying Movies, Stationary Materials, Office equipments. Also we offers schools and Office Services like, Typing, Lamination, Binding, Scanning, Printing and Internet cafe services with the greater competitive prices. You are warmly welcome.
Saturday, December 1, 2012
Saturday, October 27, 2012
KUTANA NA MISS MIRIAM NTAKISIVYA ALIYEJIKITA KUBUNI MAVAZI BAADA YA KUSHINDWA KTK KINYANG'ANYIRO CHA MISS TMK 2012 iii
JINA KAMILI NI:- Miriam Ntakisivya
UMRI:- (21 )
ELIMU :- Chuo
HOBIES:- Mwanamitindo, Burudani
MATARAJIO:- Kuwa mbunifu na Mwanamitindo wa kimataifa
ANAPATIKANA KATIKA:- kijamii kama facebook Na Twetter kwa jina la Riam Ntakisivya
MAVAZI HAYA PICHANI: Ameyabuni yeye mwenyewe
NDOTO ZAKE:- Ni Kufanya vizuri na kufika mbali
UMRI:- (21 )
ELIMU :- Chuo
HOBIES:- Mwanamitindo, Burudani
MATARAJIO:- Kuwa mbunifu na Mwanamitindo wa kimataifa
ANAPATIKANA KATIKA:- kijamii kama facebook Na Twetter kwa jina la Riam Ntakisivya
MAVAZI HAYA PICHANI: Ameyabuni yeye mwenyewe
NDOTO ZAKE:- Ni Kufanya vizuri na kufika mbali
Tuesday, October 23, 2012
Monday, October 22, 2012
Saturday, October 20, 2012
Rihanna atumia jina la album yake kuwajibu walioiponda picha yake ya kwenye cover ya album hiyo.
Baada ya Rihanna kureveal cover ya studio
album yake ya saba yenye jina “Unapologetic” watu wengi walitoa maoni kupitia
mitandao ya kijamii kama facebook na twitter.
Album cover hiyo inayomuonesha Rihanna
akiwa hajavaa chochote juu (naked), picha hiyo inaambatana na maandishi mengi
kwenye mwili wake ambayo hayaeleweki japo mawili matatu yanaweza kusomeka
lakini bado hayatoi picha inayoeleweka haraka. Kiasi cha kufanya fans wahisi
labda ni majina ya nyimbo zitakazokuwa katika album yake, likiwemo jina ‘diamond’
na Unapologetic ambalo ndilo jina la album.
Katika picha ya album cover hiyo chuchu
moja ya Rihanna imefunikwa na maandishi wakati nyingine ikiwa ameifunikwa na
kiwiko chake cha mkono wa kushoto.
Watu wengi walitoa maoni mbalimbali baada
ya kupata details za album hiyo ambayo inategemewa kuachiwa rasmi November 19,
2012 na wengi walionesha kusifia sana cover yake hasa ile picha na baadhi ya
tweet za fans zilikuwa na maneno kama ‘I love that’, unapologetic sounds good‘
I’m so proud of her the cover and the name are totally Epic, Perfect, flawless
etc’, na mengine mengi ya kusifia.
Lakini kuna walioponda na kushangaa hiyo
cover iliyowekwa na wengine ikaonekana kama hii ni picha inayoonesha bad girl
Rihanna ambae ni unapologetic.
Rihanna alionekana kutowajali ambao
wameiponda na aliamua kutumia maneno
hayo hayo yaliyo kwenye cover la album akajibu critique za wasikilizaji kwa
tweet “it's okay! Refer to: album title", akimaanisha she is unapologetic.
NEW VIDEO: MABESTE FT. JUX - SIRUDI TENA
Tazama video mpya ya msanii Mabeste aliyomshirikisha Jux.
EXCLUSIVE: NEW VIDEO: C-SIR MADINI - PAIN KILLER (Official Music Video) HD version
C-sir Madini
Baada ya kuonyesha uwezo wake kupitia wimbo wake wa kwanza wa "Kifungo Huru" alioutoa mwaka jana 2011, uliofuatiwa na wimbo wake wa pili alioutoa January mwaka huu 2012 unaoitwa "Nishike Mkono", hii ndio single yake ya tatu ambayo kwa mara ya kwanza Leotainment inakupa nafasi ya kuiona video yake mpya aliyoipa jina la "PAIN KILLER".
Wimbo huu umeandikwa na kua produced na Kid bwoy wa Tetemesha Recordz. Video imesimamiwa na Adam Juma wa Visual Lab/Next Level.
Kwa mujibu wa management ya C-sir video itaanza kuonekana katika vituo vya TV mapema wiki Ijayo, na itaanza kusikika katika vituo vya radio wiki moja baada ya kuanza kuruka katika Tv stations.
Wimbo huu umeandikwa na kua produced na Kid bwoy wa Tetemesha Recordz. Video imesimamiwa na Adam Juma wa Visual Lab/Next Level.
Kwa mujibu wa management ya C-sir video itaanza kuonekana katika vituo vya TV mapema wiki Ijayo, na itaanza kusikika katika vituo vya radio wiki moja baada ya kuanza kuruka katika Tv stations.
Kuwa wa kwanza kuitazama hapa
Wednesday, October 17, 2012
Wednesday, October 10, 2012
Monday, October 8, 2012
OMMY DIMPOZI- BAADAE
Msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpozi , azidi kung'aa kimataifa baada ya video yake mpya ijulikayo kwa jina la Baadae,
Sunday, October 7, 2012
HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA FIESTA 2012 DAR WITH RICK ROSS
Mwanamuziki
kutoka nchini Marekani,Rick Ross akijisikia furahaa kuwaona Watanzania
wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwa ajili ya kumshuhudia yeye akikamua
stejini
Mwanamuziki
kutoka nchini Marekani Rick Ross akiimba jukwaani usiku huu mbele ya
maelfu ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake kwenye viwanja vya
Lidaz Club,wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta likirindima.
Mtu mzima Rick Ross “The Boss” kutoka nchini Marekani hivi sasa
yuko jukwaani kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2012 linalofanyika
kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar salaam ,anakamua ile
mbaya na mashabiki wamepagawa vyakutosha kwa kila anachowaelekeza
kufuata wanafuata jamaa amefunika mbaya, hiii ni mara yake ya kwanza
kufanya onesho nchini Tanzania
GARI ALILOKUJA NALO RICK ROSS BONGO
Rachel na wacheza shoo wake wakiburudisha mashabiki viwanja vya Leaders jijini Dar es salaal katika tamasha la Serengeti
Subscribe to:
Posts (Atom)